Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

yaliyokithiri” kama ugonjwa wa akili unaoweza kutambulika. Je unawezaje kujua kwamba umeathirika na matumizi ya intaneti yaliyokithiri?

Zifuatazo ni ishara za onyo:

1. Kujishughulisha na mipango ya intaneti na kufikiria kuhusu muda mwingine utakaoweza kuwa online.
 
Bila shaka, kujibu “ndio” kwenye mojawapo ya maswali haya haioneshi uhusiano. Hata hivyo, kama unaweza kujibu “ndio” kwa nusu ya maswali haya, hapo unaweza kuhitaji kuchunguza matumizi yako ya intaneti. Hapa kuna njia unazoweza kuzitumia kuzuia matumizi ya intaneti yaliyokithiri:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…