Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
N730
Unashangilia eeeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We nae mchokonozi,mmmhWee mzee wewe ni shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikija ndio utajua mlonge ni long lasting... na nilikula kwa ajili ya nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitashinda shamba siku nzima nalimaNani uliemlia mlonge?
Sema nae unammezea mate ndio maana.Me sijui kwa nini ananiogopa kila akiniona haishi kunisemasema[emoji22][emoji22]
Hahahha kaka, naona andjul anapenda misambwanda basi inabidi nifanye juu chini nipate na mm.Tulikuwa tunawala hawa kipindi fulani sema tu baadaye waliadimika. Na wale mchwa wanaoanguka halafu wanajifukia chini...
Wewe ulivyo bageshi ni perfect. Kamwili hako umependelewa sana. Usikaharibu !!!
Tena hapa ndio nimefika kbs na kituo nimeweka. Asahau kupata nafasi[emoji124] [emoji124] mwambie aelewe kuwa wewe bado upo...
Wakati mwingine mwanamke kuwa mkali.Nani uliemlia mlonge?
Ndio aje atujibu sasa.Kwa Carba anafuata nini ambacho wewe huna? Tuanzie hapo kwanza !
Kwenye uzi huu wa likes hata malengo ya siku wengine yanakwama na hapo bado IG, FB, Twitter na mengineyo. Ni shida !!!Usiruhusu intaneti kuwa kituo cha uwepo wako au ya muhimu sana, sehemu yako ya siku ya kufurahia. Jikumbushe malengo yako, vitu vya thamani,