moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hawa watakua simba hawa [emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha. Kamati ya ufundi kazini....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Nawe unatokea maeneo hayo shemeji?Hii kitu ni tamu[emoji39][emoji39][emoji39]
Hahahahhaah dah we mtu, nimecheka hadi machozi.Nikija ndio utajua mlonge ni long lasting... na nilikula kwa ajili ya nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitashinda shamba siku nzima nalima
Mbona mawazo mengi na mechi bado?
Yaan we muache tu, leo hapatoshi huku nyumbaniWakati mwingine mwanamke kuwa mkali.
Akuambie sababu ya kula huo mlonge
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nilimwambia KK kabisa kuwa naweka evidensi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji817]Wee mzee wewe ni shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulia, jiandae kupata kichapo cha mwaka.Mbona mawazo mengi na mechi bado?
Nimeshaacha nkoyi...Uzi huu burudani haki ya nani...Hahahah bhagheshi acha basi.
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mechi za kipuuzi kama hizi simba huwa anashinda...