Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeshaacha nkoyi...Uzi huu burudani haki ya nani...Hahahah bhagheshi acha basi.
Na mpira umeanzajioni ya Simba na Yanga
HahahhaaSass yeye mwenyewe anaitwa simba unataka ashabikie yanga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]familia yenu ni nzuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda cha chi.....
Hahahahaha hatari sanaYeah! Katoka kutekwa halafu ameanza kuleta fyoko fyoko kutishia mazizi ya watu. Hajajifunza bado !!!
KK kiboko [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]. Kapangiwa Kibiti tu na ametuliza kila kitu. Wakati mwingine mbwai mbwai tu inasaidia sana !!!Mchina na KK wanajuana inasemekana walikuwa korokoroni wote sema tu KK aliwahi pata dhamana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji58] [emoji58] ntahama taratibu taratibu sahv nahamisha kitu kimoja kimoja kuelekea asenali