Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Endapo hilo litafanywa, virutubisho vilivyopo katika nanasi vitafanya kazi nyingine tofauti na ile iliyokusudiwa. Nanasi lina virutubisho vingi ikiwamo vitamin A, B na C na ina madini ya chuma, shaba na phosphorous ambayo ni muhimu katika afya ya binadamu.
 
Ulaji wa nanasi mara kwa mara husaidia kutibu maradhi ya akili, kukosa mori, kutibu matatizo ya wanawake hasa upungufu wa homoni na matatizo mengine ya sehemu za siri za mwanamke na husaidia kupata choo laini kwa wakati.
 
Nanasi pia linajulikana kwa uwezo wa kuimarisha nuru ya macho. Utafiti unaonesha ulaji wa tunda hili na mengine kwa kila mlo kwa siku kunaondoa hatari ya kupungua kwa nuru ya macho kwa asilimia 36 kwa watu wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…