BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,930
We mbona utoi likesUlaji wa mara kwa mara wa tunda hili husaidia kuimarisha kinga za mwili ambazo hukabiliana na kuvimba koo, ugonjwa wa baridi yabisi, ugonjwa wa gauti na hutibu matatizo ya tumbo ikiwapo bandama.
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app