Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unatishia mtu mzma nyau.

Tutafumuana kweli kweli hadi ukimbie show zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani wewe[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]we wakunisema vile wewe
Yaani mimi kweli mimi
Image-8900.png
walah nakufumua[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Mijibaba minyemelezi shemeji. Tumbo moto 24/7. Mpaka suruali zimeanza kunipwaya shemeji. Kuna ukaribu fulani unajengeka hapa siupendi. Pengine ndiyo vita ya uvamizi wa mazizi iliyotangazwa na Mchina. Nitamtafuta Cole anipe mbinu za kujilinda azawaisi hali ni tete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole shemeji mana nimeona watu wanaimba gospo tu humu na wanatangaza kuokoka kabisa tena na madedikesheni juu,pole sana ila pambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mijibaba minyemelezi shemeji. Tumbo moto 24/7. Mpaka suruali zimeanza kunipwaya shemeji. Kuna ukaribu fulani unajengeka hapa siupendi. Pengine ndiyo vita ya uvamizi wa mazizi iliyotangazwa na Mchina. Nitamtafuta Cole anipe mbinu za kujilinda azawaisi hali ni tete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mijibaba minyemelezi again[emoji58]
 
Back
Top Bottom