carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yanga wanalala na viatu leo[emoji23][emoji23][emoji23]Usiku umeingia na Yanga wamechoka
Yanga wanalala na viatu leo[emoji23][emoji23][emoji23]Usiku umeingia na Yanga wamechoka
Mwambie braza asiwe na wasiwasi kabisa mimi ni mtu salama kabisaShemeji yako huyu sikuhizi ana machale na Bob12 [emoji58] [emoji58] [emoji58] [emoji53] [emoji55]
Nisile ugali wangu na mlenda kisa? Wewe karangiza tu hakuna noma !!!Napika mimi ila kwa jinsi shemeji yako alivo na machale sidhani kama chakula kinashuka leo.
Pole[emoji481][emoji481]shushia na hiyoHata mimi
Nakujua lakini sio hivyo jamani shimba sitaki iwe kama vile [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️. Kwani hunijui?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bahati kapataNipo mkuu. Kwema wewe? Naona ulikuwa unatafutwa kusalimiwa mkuu. Hongera sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tumeenda penati wamebahatisha 5 sisi tumepambana kikamilifu tumepata 4
Doooohhhh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nipo mkuu. Kwema wewe? Naona ulikuwa unatafutwa kusalimiwa mkuu. Hongera sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waimba gospo wa humu ndani hawaaminiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dooohhh mpaka huyu mtumishi bob wa watu anataka kuokoka jamani aachane na ya uliumwengu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Asante mpenzi wangu nikupendae Sana sana
CantstopwontStop
Hello brotherSometimes am trying to pay attention but attention pays Me
CantstopwontStop