Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzito
Uzito uliopitiliza ni hatari kwa afya yako kwani unaongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Unashauriwa kufahamu Body Mass Index (BMI) yako ambayo huwianisha uzito na kimo kujua kama vinaendana na haupo kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukiza.
 
Vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza vimekuwa vikiongezeka. Ulemavu unaosababishwa kutokana na kuchelewa kutibiwa nao ni janga la jamii.
Mfumo wa maisha na kuchelewa au kutofanya vipimo mapema au kwa wakati ni miongoni mwa sababu ya kutokea kwa yote mawili. Hujachelewa kuanza kufanya vipimo kwa ajili ya afya hata kama huna dalili za ugonjwa wowote.
 
Utafanya la maana sana tena fanya haraka. Hata kanisa nitakujengea ali mradi tu uokoke kweli na uachane na mambo ya paraboz na kusalimiwa salimiwa hovyo mabarabarani ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…