Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa watu wenye maradhi ya moyo, wavutaji wa sigara, wenye BMI zaidi ya 30 na wenye historia ya kupata kiharusi kwenye familia wanatakiwa kufanya kipimo hiki kuanzia wakiwa na miaka 20.
Kufanikisha kipimo hiki, sampuli ya damu kutoka kwenye mshipa wa mkono inahitajika. Kwa viwango salama vinavyopendekezwa, lehemu inatakiwa kuwa chini ya 200 mg/dl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…