HahahahahaNipo mkuu. Kwema wewe? Naona ulikuwa unatafutwa kusalimiwa mkuu. Hongera sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We will be here sir...Then I will be back
Ulimwenguni si sehemu salama kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dooohhh mpaka huyu mtumishi bob wa watu anataka kuokoka jamani aachane na ya uliumwengu
ColeNumbisa
CantstopwontStop
SureAll is excellent
I hope unajua kuwa ni utani tu mkuu. Hata ukivamia zizi na kutafuna ndama wangu wa thamani ni sawa tu...Hahahahaha
Shimbaaaaa
usijali braza mimi siyo man fongo
AMUN RASure
Itabidi nimuite gwajima aje aamshe dude la maombi humu ndaniPole shemeji mana nimeona watu wanaimba gospo tu humu na wanatangaza kuokoka kabisa tena na madedikesheni juu,pole sana ila pambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaPole shemeji mana nimeona watu wanaimba gospo tu humu na wanatangaza kuokoka kabisa tena na madedikesheni juu,pole sana ila pambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gr8 my dearHabari za mida hii
Ushindi wa matuta aahHongereni Nsamaka na SHIMBA kwa ushindi wa simba leo