mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Man fongo hana nafasi tena,ameshalegea kabisa sasa hivi ni kazi kaziEeeehhhh jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
salama kabisaHabari za mida hii
Nzuri mkuuZa jioni
Hii jeneresheni kazi ipo, wanavamia kwa gospo ili waaminiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna upako wo wote wewe. Gia tu hizo za kuingilia mazizi ya watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una poteza kumbukumbu Siku hiziHujajibu bhana[emoji23][emoji23]
Mzee wa nambaN641
Lazima wanyooshe mikono juuJust like that mtu katekwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu salama? Juzi tu hapa ulikuwa unaulizia milonge. Milonge na mtu salama + upako wapi na wapi?
Maumivu mengine yanakusubiri Jumamosi. Ooooh Wenga!!!!salama kabisa
ushindi wa leo umenifanya nipunguze machungu ya weekend
Mtu kachukuliwa mke wake tayari
Ushindi ni ushindi tu hata kama ni wa goli la mkono [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushindi wa matuta aah