Kiboko yao
Njoo tu. Upako utaukuta huku huku. Kuna maji ya pilipili yaliyochanganywa na upupu. Upako wake ni astronomical. Utakuwa unafufua hata wafu kikweli kabisa na siyo kimaigizo kama kule Kawe Tanganyika Parkers...Hizi fursa hizi,sema ndo ivo hapa nahitaji upako
HahahahaNjoo tu. Upako utaukuta huku huku. Kuna maji ya pilipili yaliyochanganywa na upupu. Upako wake ni astronomical. Utakuwa unafufua hata wafu kikweli kabisa na siyo kimaigizo kama kule Kawe Tanganyika Parkers...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bob ana shida angekuwa kk angehofuWaimba gospo wa humu ndani hawaaminiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kinachonipa mashaka ni huu ukaribu uliojengeka siku hizi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahahaKwani wewe ji nyuki wa mashine??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna upako wo wote wewe. Gia tu hizo za kuingilia mazizi ya watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Milonge ni kwa ajili ya afya tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu salama? Juzi tu hapa ulikuwa unaulizia milonge. Milonge na mtu salama + upako wapi na wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Mzee wa namba na seneneWe will be here sir...
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe hamjafungwa eeh ila mmepakatwa na simba[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sio Habari za kweli mzipuuze yanga hajafungwa
Ushindi ni ushindi tu numbisaUshindi wa matuta aah
Umesema wewe ni mtu salama?Hahahaha
mimi ni mtu salama kabisa,nakula milonge hapa