moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Naimani simba itafungwa tu ligi ikianzaBado mkuu
Hii ngoma nadediketi kwa shimba na jakitoo,waendelee kudumisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napenda kuona watu wanaumia sababu ya mpiraUnaumiza watu ujue
Safi, mambo vipi mzeeHabarii zenuuu
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye kuokoka ndipo pabayaHahahaha
milonge inanipa nguvu,inanifanya kuwa active muda wote na faida nyingi ikiwemo kuwa na mawazo chanya kama haya yakutaka kuokoka
Hahahahaha kila post likeNatoa like kumi napewa mbili,...woyiii!!!,
..
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Duh![emoji125] [emoji125]Njoo tu. Upako utaukuta huku huku. Kuna maji ya pilipili yaliyochanganywa na upupu. Upako wake ni astronomical. Utakuwa unafufua hata wafu kikweli kabisa na siyo kimaigizo kama kule Kawe Tanganyika Parkers...
AiseeUnasawazisha makosa
Bob mzee wa mlonge au mwingine?mtu anataka hadi kuokoka unasema hana shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bob ana shida angekuwa kk angehofu
Haya maneno hayo wenyewe wanapata motoYanga watasawazisha penati kwenye taarifa ya habari ya leo usiku. Hivyo washabiki wa timu hiyo fuatilieni taarifa kwenye tv na redio!