Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Jamani jamaniUmesema wewe ni mtu salama?
Kwanini unakula milonge??
[emoji23][emoji23]
Karibu cocochanelHabari zenu
Nipo salama
Nami na wa misi sana.. spidi yenu nanuzee huu eeeeh inanisomesha namba 🙂
Hongereni naona mnaongoza kwa goli2Nahifadhi hii post kwa mrejesho
Mhhhh!Nilipaliwa sana sijui kwanini[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naelewaga ninavyovitaka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani jamani
milonge inasaidia mambo mengi mwilini
cc Numbisa njoo utoe lecture upya huku
Got itSio mshabiki wa Ligi ya Bongo My love
CantstopwontStop
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] modgulf leo hushushi mapicha
Hellow Bob12 umepotea sana leo,habari ya jion mana ndo kwanza nakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhhhh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo tu. Upako utaukuta huku huku. Kuna maji ya pilipili yaliyochanganywa na upupu. Upako wake ni astronomical. Utakuwa unafufua hata wafu kikweli kabisa na siyo kimaigizo kama kule Kawe Tanganyika Parkers...
Mnatoaga ndio lugha gani
Siwaelewi ujueBob mzee wa mlonge au mwingine?mtu anataka hadi kuokoka unasema hana shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BadoFito hazijaanza kutembezwa huko Jangwani? [emoji3]
Siyo kwa mikwara hiyoDuh![emoji125] [emoji125]
Hapo ndipo pabaya[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe hamjafungwa eeh ila mmepakatwa na simba[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wapenzi wasiotaniana na kucheka pamoja hawatafika mbali. Nyumba inakuwa kama kambi ya jeshi...SHIMBA mama watoto anaumia