Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Leo hukuangalia mpiraI see you
CantstopwontStop
Raha ya mapenzi ni kutaniana[emoji23][emoji23][emoji23]SHIMBA mama watoto anaumia
5[emoji23][emoji23][emoji23]
Nahifadhi hii post kwa mrejeshoJumapili nipo na liverpool,namtwanga kama mahindi kwenye kinu
Huangalii mpira leo?mbona kama liva inachezaHahahahaha kwa hiyo next week nayo tunakupiga
Me mwenyewe hata sijui[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ukoje huo mnara wa VODA?
Post ingine hii naifadhiNaanda foil kama nilivyo andaa leo
lazima hicho kijogoo cha jiji kilipuliwe na mitutu ya london
Na wewe uneanza imba gospo??Amazing Grace
CantstopwontStop
Mama wa mithali we miss herAmepotea sana. Na cleverKING mzee wa busara. Kila mmoja ana staili yake ya kuchangamsha jukwaa. Pamoja na Coco. Natamani warudi...
That's all....
![]()
Naona anaota huyoMzee wa Liver unamsikia Bob? Eti Jumapili mhenga Wenga atawaliza. Anaota ama?
Mungu awabariki baba wote[emoji120][emoji120]