Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1411c1da0b05b5abe9c6124fadee3fd7.jpg

SYB
Thanks baby. Nisamehe kama nilizidisha utani leo. NAKUHESHIMU !!!
 
Wapenzi wasiotaniana na kucheka pamoja hawatafika mbali. Nyumba inakuwa kama kambi ya jeshi...

Nitamfariji leo ili kupoza maumivu ya Yanga kufungwa. Halafu naona anataka kunifuata mimi kushabikia ASENO bila kujua sababu iliyonifanya mimi kuanzia ushabiki wangu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bila shaka Bob atamwelewesha...
Hahahah
mwambie aje nimueleweshe tu,tena bure hahaha
 
Back
Top Bottom