mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
SHIMBA mama watoto anaumiaJust like that mtu katekwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha kwa hiyo next week nayo tunakupigasalama kabisa
ushindi wa leo umenifanya nipunguze machungu ya weekend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo mwenye nguo kama za majani kakaa vizuriUtani wa ngumu huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa kuchomekea umeanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii jeneresheni kazi ipo, wanavamia kwa gospo ili waaminiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwamba mnara wa voda ushaanza kusoma 4g[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ikulu
mmmmh![emoji144] [emoji144]Yap! Karibu zizini mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaMaumivu mengine yanakusubiri Jumamosi. Ooooh Wenga!!!!
Nilipaliwa sana sijui kwanini[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kikohozi
Umenikumbusha 1986 goli la Maradona Waingereza hawatasahauUshindi ni ushindi tu hata kama ni wa goli la mkono [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
King of the jungle[emoji83][emoji83]
wow[emoji7]
Kwamba mnara wa voda ushaanza kusoma 4g[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nani katenda kk au ho chi Minh[emoji124] [emoji124] [emoji124]ametenda maajabu nami siwezi kueleza...[emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Hivyo viatu mnunulie jakitoo
HahahahahaAsante kunitia moyo shemeji. Madedikesheni yale hata mimi yaliniacha hoi hasa ukizingatia kwamba mi sijawahi pata dedication hata moja....