Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siku hizi afadhali. Nasikia wanawasiliana nawe kwanza kabla hawajakutoa front page. Sheria ya mtandao imesaidia siyo wakati ule ana kikosi chake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) anategeshea mafumanizi kwenye magesti huko...Na shigogo asivyo na adabu sasa[emoji23][emoji23][emoji23]