Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na shigogo asivyo na adabu sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi afadhali. Nasikia wanawasiliana nawe kwanza kabla hawajakutoa front page. Sheria ya mtandao imesaidia siyo wakati ule ana kikosi chake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) anategeshea mafumanizi kwenye magesti huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…