myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] amun ra[emoji3] [emoji3]Tena wewe ndo usijiamini kabisa,ho chi minh katia timu kwako kwa njia ya herufi ndogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameamua kulala taifa Leo!!Ushabiki wa hivi siuweziView attachment 573574
Jifunze, kwani ukitoa salaam inakuwaje?Kati ya vitu nisivyoweza ni
Kuaga humu usiku au nikitoka
Kusalimia asubuhi,mchana au jion
Sijui kwann
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante mkuu, nitakaribia one day! Basi usiku mwema aisee, si unajua tena sisi watu wa wanga time! [emoji3]
Tangu enzi za hawa Sekilojo
chambua,edibily lunyamila,ally mayai