andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ni usiku wa kwenda kuota ndoto zisizo kumbukwa kesho yake,ndoto za mateso sana.Karibu mkuu upumzike baada ya mahangaikoKumekucha! Mambo poa kabisa. Vipi mambo huko?
Ni usiku wa kwenda kuota ndoto zisizo kumbukwa kesho yake,ndoto za mateso sana.Karibu mkuu upumzike baada ya mahangaikoKumekucha! Mambo poa kabisa. Vipi mambo huko?
Na kwako piaUsiku mwema kwa wote
Nimegundua Gwazwat naye ni SHIMBAUshindi ulioje huu
Tena wewe ndo usijiamini kabisa,ho chi minh katia timu kwako kwa njia ya herufi ndogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kidogo,leo sikufuatilia mpira,nilikua na ligi yangu jukwaa la celebrity hahaaNaona umeumia sana
Mimi nimeipenda tangu enzi za mkwasa,mkambi,makumbi,n.k.Timu tangu utoton hii
Post chochote upate likes nawe likes Comments za wenzako uone maajabuhebu nijaribu na mimi nione!!
chambua,edibily lunyamila,ally mayaiMimi nimeipenda tangu enzi za mkwasa,mkambi,makumbi,n.k.
HahahaUshabiki wa hivi siuweziView attachment 573574