Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipimo hivi vinakuwezesha kujua endapo matatizo haya yanazidi au yanapungua hivyo kukusaidia kuwahi kufika katika huduma za afya au kumjulisha daktaria wako mapema kwa ajili ya matibabu na ushauri.
 
405. What is Carbon Sequestration ?

Carbon sequestration describes long-term storage of carbon dioxide or other forms of carbon to either mitigate or defer global warming and avoid dangerous climate change. It has been proposed as a way to slow the atmospheric and marine accumulation of greenhouse gases, which are released by burning fossil fuels.
 
Mtu mwenye shinikizo la akili au msongo wa mawazo hujikuta akijitumbukiza kwenye ulevi wa pombe, uvutaji sigara na dawa za kulevya. Wengi hudhani kuwa mambo haya yanawapunguzia msongo wa mawazo kumbe vinawaongezea hatari ya kupata matatizo ya moyo Zaidi.
 
a0bb01aeabd03a6f67399a1078a47814.jpg
Hahahahaha
 
Njia sahihi kiafya za kukabiliana na shinikizo la akili ni pamoja na kusikiliza muziki, kushiriki michezo, kutembea, kushiriki burudani mbalimbali, kuongea na kupata ushauri kwa ndugu, jamaa na marafiki. Mazoezi yanashauriwa kwa waathirika wote. Fahamu matatizo ya kiafya yanayowakumba ndugu zako wa damu, kwani baadhi ya matatizo ya moyo yanarithishwa kupitia chembe zenye hitilafu pamoja na mitindo ya kimaisha.
 
Kuyajua matatizo hayo inakusaidia kuchukua tahadhari mapema na kufahamu namna ya kujikinga. Mbinu ya mwisho ni kuhakikisha unabakia katika uzito ambao ni salama kiafya. Hakikisha unapima uzito wa mwili mara kwa mara na kuulinda.
 
Back
Top Bottom