Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata sasa ukiwakorofisha unatandikwa ban usiku huu wa manane !!!
Siku hizi nimekuwa eti zamani nilikuwa napigwa ban kila dakika alafu Ids nilikuwa nazo kama sita unaweza kuta tano zimekumbwa na ban. Ila sasa utoto nimeacha nimebaki na ID moja tu hii pia naubiri amani ndani ya jukwaa letu hili pendwa la JF.
 
Huko ndiyo kwangu Mkuu pamoja na kuwa sitaki kabisa kuwa mwanasiasa. Ni katika kupinga ufisadi na maovu mengi yanayoendelea nchini mwetu. Nchi yetu ingekuwa haina ufisadi na maovu mengine na inafanya vizuri kwenye kila sekta na pia kutumia vizuri rasilimali zetu kule wala nisingezuka kabisa.

Hata huku huwa anapita mara moja moja tu. Mimi nilidhani makazi yake hasa ni jukwaa la siasa.
 
Niko kote lakini sana hapa kuna upendo hapa tena wa hali ya juu sana, ila siasani lazima nizuke hasa wakati huu Watanzania wengi tuna hofu kubwa sana kutokana na kauli na matendo ya bwana yule. Nchi yetu inaharibika machoni mwetu.
Ila mkuu unakumbuka waraka uliwekwa hapa kutoka kwa wajeda ikatolewa haraka haraka basi ndio mtambue hali mbaya he should watch it before things become worse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…