Muda utaongea ngoja tuoneHali ni mbaya Mkuu lakini ngoja nisitie neno la kuliamsha dude.
Teh teh kwann isiwezekane? Mbona humu ndan mabinti wengi wanatafuta wachumba means ni wapweke au?Aisee. Huwa siamini kama kweli binti anaweza kuwa mpweke. Inawezekana hiyo kweli?