Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee hili hata mimi nilikuwa siliamini, lakini sasa hivi naamini tena mabinti warembo sana, upstairs imetulia lakini hawana njembas. Hapa nasemea nchi yetu Mkuu. Nawaona warembo wenye uwezo wao wanasafiri ndani na nje ya nchi ili kupata dushe tu na wengine wapewe ujauzito! Ni ngumu kuamini Mkuu lakini ndiyo hali halisi sijui sababu ni idadi ya warembo kuwa kubwa kuliko njembas au ni sababu zipi.

Aisee. Huwa siamini kama kweli binti anaweza kuwa mpweke. Inawezekana hiyo kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…