KAMA NINGEWADHARAU NA MIMI PIA NINGEKUWA MMOJA WAPO!Siwezi kuweka nyumba zangu humu! Sijipendi!? Humu kuna watu banaaa usiwadharau kwa kuwaona wako humu lakini wanachakarika vibaya sana ndani na nje ya nchi na wako vizuri sana.
View attachment 573625
Hao walikuwa hawa fanyi biashara za halali
BELIEVE ME BAK BIASHARA TANZANIA HAZIWEZI KUSHUKA KAMWE
DUNIA NZIMA INATAKA KUJA KUWEKEZA NCHINI KWETU
KENYA NI KWISHNEY
AFRICA KUSINI NI KWISHNEY
MSIMU WA KOROSHO UMEANZA
KUNA WATU WA KILA TAIFA MTWARA NA LINDI
USIDANGANYIKE NA WAPIGA DEAL
BELIEVE ME MY BROTHER THINGS ARE MOVING FAST SPEED KAMA YA MALIKE YA HUU UZI IN MAGNIFICENT DIRECTION
PESA IPO NYINGI SANA!
KAMA NINGEWADHARAU NA MIMI PIA NINGEKUWA MMOJA WAPO!
HALLO !
Maana jf kwangu ni part of my life!
Si unaniona brother?
Jamani BAK seriously!
I THINK WE ARE IN A TOTALLY DIFFERENT PAGES, DIFFERENT LIFE STYLE AND SAILING IN A DIFFERENT BOATS AND GOING IN A DIFFERENT DIRECTIONS!Hatuwezi kuunga mkono udikteta uchwara kwa kusingizia uchanga wa nchi yetu lazima tuupige vita kwa nguvu zote. Katiba iheshimiwe, raia waheshimiwe, wapinzani waheshimiwe, sheria za nchi ziheshimiwe na pia Bunge liheshimiwe. Hatutaki awepo mtu kujiona yeye ni ni kama mungu hastahili kukosolewa na yuko juu ya sheria chochote akifanyacho ni sawa. Popote pale penye udikteta uchwara hakuna ha BIG PICTURE bali ni vilio tu kila kona.
Big Up Madame. I see you doing your thing.
THANK YOU!Big Up Madame. I see you doing your thing.
Are you ready for a big Powerball jackpot?
THANK YOU!
Maana badala ya kuwa na mastress!
Naingia kwenye UZI PENDWA!
STRESS FREE ZONE!
TRUST ME BE POSITIVE BROTHER!Siwezi kuandika humu kuhusu wenye biashara haramu huyo wa 300K ni halali mwanzo mwisho lakini naye analia. Huwezi kufanya biashara ya maana nchi yoyote ile duniani kama uchumi umeanguka na wateja hawana pesa. Hivyo vyote viwili vipo nchini sasa hivi tena vipo kwa miezi mingi sana ndiyo sababu BoT walishusha riba toka 16% to 12% and now 9% ili kujaribu kustimulate uchumi na biashara vilivyodorora. Mie basi Madame huku likes kwa likes Mkuu tuachane na siasa.
AMUN RA
Mh! Imagine the freedom! I know you're in Mkuu. You never know it can happen.
Yup!Uzi mama wa jamii forums. [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257]