Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mwanzoni lakini zitakuwa zikijionesha kwa muda mfupi na katika hali isiyo kali sana na kudumu kwa muda mfupi kadri tiba itakavyokuwa inaendelea. Kikubwa ni kuwa mgonjwa anapaswa kuwa na mtazamo chanya juu ya kupona kwake kwani ndio msingi wa kufanya kazi kwa mafanikio.
 
IMG_3217.JPG
IMG_3219.JPG
That's what I am trying to do Madame. You need to play YOUR PART TOO, IT CAN BE DONE.
Exactly
Wa kutengeneza maendeleo
Biashara ni nyingi sana
Lakini watu wamekaa vijiweni kulalamika tu
Change your mind change your life!
Siasa zipo na ni nzuri ukiwa na mshiko wako mwenyewe mfukoni
 
Nimeona Madame, sasa fikiria kuwe na Charlottesville katika nusu tu ya States za America! Wanaweza kufa wengi sana, kisa ni huyu mpuuzi aliye WH. Wengine wameshaanza kudai apimwe akili yake before it is too late naona hawa hawajasema apimwe kojo 🙂🙂

Umeona marekani juu ya
Charlottesville?
 
IMG_3226.JPG
IMG_3220.JPG
Nimeona Madame, sasa fikiria kuwe na Charlottesville katika nusu tu ya States za America! Wanaweza kufa wengi sana, kisa ni huyu mpuuzi aliye WH. Wengine wameshaanza kudai apimwe akili yake before it is too late naona hawa hawajasema apimwe kojo 🙂🙂
Na USA ina 400 plus years
Sisi ndiyo kwanza tunaanza
HIZO BIDII ZA SIASA ZINGETUMIKA KWENYE BIASHARA
WALAHI TUNGE SONGA MBELE SANA
WAZUNGU WANAPENDA VURUGU LA DEMOKRASIA
LAZIMA WATANZANIA TUONE THE BIG PICTURE
TUAMKE
TUBADILIKE
 
Usiseme kabisa kuhusu biashara Madame hizo zinakufa vibaya sana. Dakika chache nilikuwa naongea namfanya biashara mmoja mkubwa sana wa jijini. Kabla ya uchumi kuanguka sales zake zilikuwa 300K kwa siku sasa hivi akipata 10K anashukuru Mungu. Kama hakuna pesa hakuna biashara Madame na huu ni mwanzo tu hali itazidi kuwa mbaya sana kama hatua muafaka hazitachukuliwa haraka. Hukusikia mabiashara chungu nzima kufungwa nchini!?

View attachment 573618 View attachment 573617
Exactly
Wa kutengeneza maendeleo
Biashara ni nyingi sana
Lakini watu wamekaa vijiweni kulalamika tu
Change your mind change your life!
Siasa zipo na ni nzuri ukiwa na mshiko wako mwenyewe mfukoni
 
IMG_3582.JPG
IMG_3673.JPG
Nimeona Madame, sasa fikiria kuwe na Charlottesville katika nusu tu ya States za America! Wanaweza kufa wengi sana, kisa ni huyu mpuuzi aliye WH. Wengine wameshaanza kudai apimwe akili yake before it is too late naona hawa hawajasema apimwe kojo 🙂🙂
Hizo photo unazo post
Zinatakiwa ziwe ni nyumba zako
Lakini our mind set haiamini
 
Hatuwezi kuunga mkono udikteta uchwara kwa kusingizia uchanga wa nchi yetu lazima tuupige vita kwa nguvu zote. Katiba iheshimiwe, raia waheshimiwe, wapinzani waheshimiwe, sheria za nchi ziheshimiwe na pia Bunge liheshimiwe. Hatutaki awepo mtu kujiona yeye ni ni kama mungu hastahili kukosolewa na yuko juu ya sheria chochote akifanyacho ni sawa. Popote pale penye udikteta uchwara hakuna BIG PICTURE bali ni vilio tu kila kona.

View attachment 573620 View attachment 573619
Na USA ina 400 plus years
Sisi ndiyo kwanza tunaanza
HIZO BIDII ZA SIASA ZINGETUMIKA KWENYE BIASHARA
WALAHI TUNGE SONGA MBELE SANA
WAZUNGU WANAPENDA VURUGU LA DEMOKRASIA
LAZIMA WATANZANIA TUONE THE BIG PICTURE
TUAMKE
TUBADILIKE
 
IMG_3228.JPG
Usiseme kabisa kuhusu biashara Madame hizo zinakufa vibaya sana. Dakika chache nilikuwa naongea namfanya biashara mmoja mkubwa sana wa jijini. Kabla ya uchumi kuanguka sales zake zilikuwa 300K kwa siku sasa hivi akipata 10K anashukuru Mungu. Kama hakuna pesa hakuna biashara Madame na huu ni mwanzo tu hali itazidi kuwa mbaya sana kama hatua muafaka hazitachukuliwa haraka. Hukusikia mabiashara chungu nzima kufungwa nchini!?
Hao walikuwa hawa fanyi biashara za halali
BELIEVE ME BAK BIASHARA TANZANIA HAZIWEZI KUSHUKA KAMWE
DUNIA NZIMA INATAKA KUJA KUWEKEZA NCHINI KWETU
KENYA NI KWISHNEY
AFRICA KUSINI NI KWISHNEY
MSIMU WA KOROSHO UMEANZA
KUNA WATU WA KILA TAIFA MTWARA NA LINDI
USIDANGANYIKE NA WAPIGA DEAL
BELIEVE ME MY BROTHER THINGS ARE MOVING FAST SPEED KAMA YA MALIKE YA HUU UZI IN MAGNIFICENT DIRECTION
PESA IPO NYINGI SANA!
 
Back
Top Bottom