Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

imagereader.aspx
 
IMG_3218.JPG
Huko ndiyo kwangu Mkuu pamoja na kuwa sitaki kabisa kuwa mwanasiasa. Ni katika kupinga ufisadi na maovu mengi yanayoendelea nchini mwetu. Nchi yetu ingekuwa haina ufisadi na maovu mengine na inafanya vizuri kwenye kila sekta na pia kutumia vizuri rasilimali zetu kule wala nisingezuka kabisa.
Hey my dear BAK
LIFE IS BEAUTIFUL
VITU VYOTE AMBAVYO NI VIBAYA KATIKA MAISHA YAKO NA NCHI YAKO VITAONDOKA VYENYEWE
VYENYEWE IN TIME
PLEASE ENJOY YOUR LIFE
HAKUNA HAJA YA KU FORCE KITU CHOCHOTE!
Life is precious!
 
Back
Top Bottom