Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha kabisa Madame, jana nikiwa barabarani ghafla tu ikaanza mvua kubwa sana ya kutisha na radi pia zenye ngurumo za kutisha yaani mbele huoni kabisa bahati nzuri magari yalikuwa mengi barabarani na watu wamewasha taa. Hivyo unaendesha kwa kufuata taa za aliye mbele yako. Nilihofia sana na akilini mwangu nilikuwa nawaza mahali pa kwenda kupark mpaka mvua ipungue, bahati nzuri kama baada ya dakika 10 hivi mvua ikapungua. Duh! hii hali ya hewa ya miaka ya karibuni inatisha sana sijui ndiyo hiyo global warming.

 
ab0bab38c85208cfc02b609e7f25bf81.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madame ISIS sikiliza hii.


Kina nani hao wanao uwawa?
Afu kama ni serikali, hao sio wajinga wakawatupe baharini, hayo ni mambo ya kishirikina
Waganga wamekuwa wengi na wakiaminisha watu vitu vibaya
Mimi ni mfanya biashara
Na ninaweza kuwa amini majamaa wengine wapumbavu wanaweza kuaminishwa nini ili
Kupata utajiri
Na hii hali ipo kila mahala duniani
 
Back
Top Bottom