ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Hapana BAKHali ni mbaya Mkuu lakini ngoja nisitie neno la kuliamsha dude.
HALI NI NZURI SANA
Hapana BAKHali ni mbaya Mkuu lakini ngoja nisitie neno la kuliamsha dude.
Yanga daimaKumbe wewe dada yangu na wewe Yanga? Aah, yaani hata George Magere Masatu ulikuwa humpendi? [emoji124][emoji124]
Salama kabisa,za kukesha?
View attachment 573616
Hey my dear BAK
LIFE IS BEAUTIFUL
VITU VYOTE AMBAVYO NI VIBAYA KATIKA MAISHA YAKO NA NCHI YAKO VITAONDOKA VYENYEWE
VYENYEWE IN TIME
PLEASE ENJOY YOUR LIFE
HAKUNA HAJA YA KU FORCE KITU CHOCHOTE!
Life is precious!
Naona network zao hazija kubali vizuri!Aisee hili hata mimi nilikuwa siliamini, lakini sasa hivi naamini tena mabinti warembo sana, upstairs imetulia lakini hawana njembas. Hapa nasemea nchi yetu Mkuu. Nawaona warembo wenye uwezo wao wanasafiri ndani na nje ya nchi ili kupata dushe tu na wengine wapewe ujauzito! Ni ngumu kuamini Mkuu lakini ndiyo hali halisi sijui sababu ni idadi ya warembo kuwa kubwa kuliko njembas au ni sababu zipi.

View attachment 573616
Hey my dear BAK
LIFE IS BEAUTIFUL
VITU VYOTE AMBAVYO NI VIBAYA KATIKA MAISHA YAKO NA NCHI YAKO VITAONDOKA VYENYEWE
VYENYEWE IN TIME
PLEASE ENJOY YOUR LIFE
HAKUNA HAJA YA KU FORCE KITU CHOCHOTE!
Life is precious!
Naona network zao hazija kubali vizuri!
Mbona vijana wapo wa kumwaga jamani! Duh!
HahahahaMimi sipendi radi kabisa Mkuu, huwa zinatisha sana na zinafanya kweli.
Hahaa hamna uadui huo napenda timu ila sichukii wachezaji wa timu yoyote
Yanga daima
Kwa kweli1. Cole Williams 193K
2. mzee wa liver 164K
3. myoyambendi 132K
Hongereni sana Wakuu kwa juhudi zenu za kumwaga likes na kuchukua nafasi tatu za juu.