Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3394.JPG
 
Upimwaji wake sasa. Tezi dume cha mtoto. Hiki unapigwa nusu kaputi na unaingiziwa cable yenye kamera huko chini ndani katika utumbo wote na kamera hiyo ndiyo inaonyesha hali ya utumbo kama polyps zimeanza kuota na kama zimeota katika ukuta wa utumbo ni benign au tayari zina kansa? Rais Bush II alifanya hii na ilibidi akabidhi madaraka kwa vice president wake kwa muda.

Sasa kuna kipimo kipya ambacho kinaonyesha kama kuna markers za kansa kwenye stool yako; japo nadhani baadaye inabidi wafanye colonoscopy ili kujiridhisha zaidi...

Kansa ya utumbo inaua watu wengi kutokana na intrusiveness ya upimaji wake (colonoscopy)
Aiseee nimeogopa
 
Juisi inaongeza maji mwilini, inasafisha damu, inatoa sumu na vitu vingine vibaya mwilini. Zaidi ya hayo, juisi za matunda na mbogamboga zinamsaidia mwili kuzalisha mkojo mwingi, hivyo zinasaidia kuondoa sumu mwilini pale atakapokwenda haja ndogo.
 
Pia, juisi ya asilia ni kinywaji mbadala kinachoweza kumuepusha mtu kujenga mazoea ya kunywa soda au juisi za viwandani.
Kwa upande mwingine, ulaji wa matunda kwa kutafuna na utumbo kusaga chakula vizuri ni bora kwake kula matunda badala ya kunywa juisi.
 
Back
Top Bottom