Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee nimeogopa
 
Mtu mwenye matatizo katika kutafuna anapokunywa juisi ya asilia, anavipata virutubisho hivyo kwa wingi zaidi katika glasi moja kuliko akila kipande cha tunda ambacho kitamchosha kutafuna na ashindwe kutumia kwa kiwango kinachotosheleza.
 
Juisi inaongeza maji mwilini, inasafisha damu, inatoa sumu na vitu vingine vibaya mwilini. Zaidi ya hayo, juisi za matunda na mbogamboga zinamsaidia mwili kuzalisha mkojo mwingi, hivyo zinasaidia kuondoa sumu mwilini pale atakapokwenda haja ndogo.
 
Pia, juisi ya asilia ni kinywaji mbadala kinachoweza kumuepusha mtu kujenga mazoea ya kunywa soda au juisi za viwandani.
Kwa upande mwingine, ulaji wa matunda kwa kutafuna na utumbo kusaga chakula vizuri ni bora kwake kula matunda badala ya kunywa juisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…