Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbegu za mlonge zilizokaangwa na mafuta yake husaidia watu wanaoshindwa kuzalisha mkojo.
Mbegu zake hutumika pia kumtuliza au kumfanya mtu mwenye kifafa a-‘relax’.
Mbegu za mti wa Mlonge ni kinga dhidi ya vijidudu (bakteria) wasababishao magonjwa na kuathiri ngozi ikiwemo fangasi.
 
Pia mbegu hutumika katika kusafisha au kuchuja maji ambapo zikipondwa na kuwekwa kwenye maji yenye tope au machafu husababisha uchafu kujikusanya na kuzama chini kisha kuacha maji yakiwa safi na salama kwa kupikia au kunywa badala ya kuchemsha.
 
oscartoon08.jpg
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom