Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

190504_600.jpg
 
Huyu jamaa demokrasia haiwezi basi tu ila kama ingekuwa ni matakwa yake angekuwa keshapiga marufuku vyombo huru vya habari, kufukuza waislamu na wahamiaji wengineo na mengineyo mengi. Vyombo vyao viko imara na mihimili ya serikali inamkwamisha. Demokrasia ni shida!!!
sijui kama atamaliza muhula wake salama
 
Back
Top Bottom