myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
baridi...
Mtu mwenye shinikizo la akili au msongo wa mawazo hujikuta akijitumbukiza kwenye ulevi wa pombe, uvutaji sigara na dawa za kulevya. Wengi hudhani kuwa mambo haya yanawapunguzia msongo wa mawazo kumbe vinawaongezea hatari ya kupata matatizo ya moyo Zaidi.
Good morningLos pepes
CantstopwontStop
Good morningKuyajua matatizo hayo inakusaidia kuchukua tahadhari mapema na kufahamu namna ya kujikinga. Mbinu ya mwisho ni kuhakikisha unabakia katika uzito ambao ni salama kiafya. Hakikisha unapima uzito wa mwili mara kwa mara na kuulinda.
Duh hawa jamaa wamekutana
This is Simba brotherLeo tabu kweli
Picha nzuri mkuu. Huko pwani kumekuchaje?
Hichi ndicho nilikua natakaUshabiki wa hivi siuweziView attachment 573574
Zizi limeshaingiliwa mkuu? Halafu jamaa kaingia kwa gia ya ulokole. Ni shida juu ya taabu !!!Kwa idhini ya SYB kweli??? Nina wasi wasi na hii salamu
ASENO tupo macho balaa...Good morning mzee wa liver
Liverpool vs Arsenal tukutane jumapili
South Africa hii mkuu. Ni ground zero ya vyura tena wale orijino kabisa. Sema tu kidogo kale kamdudu nako kalijidamkia huko. Ukizubaa tu unaibuka nako...![]()
Vyura efusi tukutane hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]