Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi sanaView attachment 573675 View attachment 573673 View attachment 573672
Hvyo ndivyo tulivyo
Mavazi yetu tunayo vaa ni ya kujisitiri
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]View attachment 573676
Huwa tunaufunika mwili na mavazi ya kistaarabu
Na wake zetu watakuwa wapi? Utakuwa nao wewe ukiwaimbisha gospo ama?Wewe tutakua meza moja na anduj kupiga mlonge
HahahaWatu wakishindwa lazima watafute visababu kha !!!
![]()
AmenTumshukuru Mungu...
Nakwambia ni shida...Hahaha
Nimeipenda hii,eti matuta waachie wakulima
Nice one. Kumekuchaje mkuu?
Jamani jamaniKaribu nitakwenda kulala mkuu. Wewe endelea na gospo zako za milonge. Mpaka nikaamke after 7 hours bila shaka utakuwa umeshafanikiwa kupata wafuasi kadhaa katika cult yako. Ila jihadhari sana na wake za watu..
Nice one. Kumekuchaje mkuu?
Baada ya kupiga na nyie mlonge ndo tunaenda kupiga gospo[emoji12] [emoji12]Na wake zetu watakuwa wapi? Utakuwa nao wewe ukiwaimbisha gospo ama?
FarajaNakwambia ni shida...
Habari za asubuhi yegoHahaa... Nadhani kumekucha salama kabisa! It's a bright new day, Thursday morning!
Hivi kwenye app wameamua kuweka matangazo ya picha au ni simu yangu pekee? Naona kuna tangazo kubwa hapa chini kabisa....