Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Baada ya gospo Ruta,mzee wa liver na cole njooni tudiscus game za weekend
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Gospo yako ni kwa ajili ya wake za watu tu? Ushindwe na ulegee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kupata mlonge
Jakitoo na carba njooni tupate gospo hapa[emoji102]
Mimi mbona simo kwenye orodha hii? Umetumia vigezo gani katika kutoa mialiko?Baada ya gospo Ruta,mzee wa liver na cole njooni tudiscus game za weekend
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvyo ndivyo tulivyoHawa vyura hawa eti malkia enzi hizo walikuwepo?
Huwa tunaufunika mwili na mavazi ya kistaarabuHawa vyura hawa eti malkia enzi hizo walikuwepo?
Nilijua shimba lazima anitafute[emoji23] [emoji23]Gospo yako ni kwa ajili ya wake za watu tu? Ushindwe na ulegee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumshukuru Mungu...Kumekucha
Wewe tutakua meza moja na anduj kupiga mlongeMimi mbona simo kwenye orodha hii? Umetumia vigezo gani katika kutoa mialiko?
Halafu wabunge wanakazaNaona Kenya wameamua kupunguza mishahara kidogo...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Karibu nitakwenda kulala mkuu. Wewe endelea na gospo zako za milonge. Mpaka nikaamke after 7 hours bila shaka utakuwa umeshafanikiwa kupata wafuasi kadhaa katika cult yako. Ila jihadhari sana na wake za watu..Nilijua shimba lazima anitafute[emoji23] [emoji23]
Uwe na siku njema Madame. Hakuna ubaya wowote wa kumkosoa anayekosea. Mwenyezi Mungu tu ndiye tunasema kazi yake haina makosa.
AMUN RA