Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

76d46514b1d23d4f84153a6581530cf0.jpg
 
Mtu mwenye matatizo katika kutafuna anapokunywa juisi ya asilia, anavipata virutubisho hivyo kwa wingi zaidi katika glasi moja kuliko akila kipande cha tunda ambacho kitamchosha kutafuna na ashindwe kutumia kwa kiwango kinachotosheleza.
 
53f95b463db5157c943188945927147f.jpg
543efe46207dabdd3c110ac3381517c9.jpg
f789e5eef8c72ede12ee6f1c6e9c62aa.jpg
e4bab89f0d0d5352d1b2996f97ad1e22.jpg

Jama kamichafulia kwenye notification yangu, atakoma[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji364]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aisee
Itabidi na wewe nikuandalie kamati maalumu
 
Juisi inaongeza maji mwilini, inasafisha damu, inatoa sumu na vitu vingine vibaya mwilini. Zaidi ya hayo, juisi za matunda na mbogamboga zinamsaidia mwili kuzalisha mkojo mwingi, hivyo zinasaidia kuondoa sumu mwilini pale atakapokwenda haja ndogo.
 
Pia, juisi ya asilia ni kinywaji mbadala kinachoweza kumuepusha mtu kujenga mazoea ya kunywa soda au juisi za viwandani.
Kwa upande mwingine, ulaji wa matunda kwa kutafuna na utumbo kusaga chakula vizuri ni bora kwake kula matunda badala ya kunywa juisi.
 
Back
Top Bottom