Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1f283467a047988fa743c08fb082c206.jpg
 
Tikitimaji ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa wingi nchini likiwa na virutubisho vingi vyenye faida kubwa ndani ya mwili wa mwanadamu.
Tunda hili ni chanzo cha protini, mafuta, nyuzinyuzi, wanga, calcium, phosphorus, potassium, magnesium, carotene, chuma, Vitamini A, B6 na C.
 
Licha ya kupatikana kwa bei nafuu, tunda hili huuzwa sehemu tofauti. Kwenye baadhi ya maeneo hata vipande vyake vinapatikana. Ingawa haishauriwi kula matunda yaliyomenywa, vipande vya tikitimaji huuzwa barabarani pia.
Hata hivyo, tikitimaji lina faida nyingi mwilini zinazotokana na wingi wa maji iliyonayo. Wataalamu wanaeleza kwamba asilimia 92 ya tunda hilo ni maji. Ni muhimu kwa afya na meno na fizi.
 
Linakinga uharibifu wa seli huku likisaidia uyeyushaji wa protini kuwa nishati na hurahisisha mzunguko wa damu mwilini.
Vilevile huondoa sumu mwilini na kwa mwanaume anayekula mbegu zake husaidia kuongeza nguvu za kiume. Huimarisha kinga za mwili na kuharakisha kupona kwa vidonda na majeraha.
Tikitimaji lina kiwango kikubwa cha Iycopene kuliko matunda au mboga zozote za majani.
 
Nakwambia wamenisaji huku nimeshindwa kutoka,mshirikiane na ivuga mnitoe,sema mnipeleke sehemu salama
Huku umeshafungua na masinagogi kukutoa tena haiwezekani. Bakia tu huku huku uwinde wake za watu. May be ukipata mangeu ndo utarudi huko kwa akina Ivuga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kingston Jamaica...'Nough said....[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku umeshafungua na masinagogi kukutoa tena haiwezekani. Bakia tu huku huku uwinde wake za watu. May be ukipata mangeu ndo utarudi huko kwa akina Ivuga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapo kwenye mangeu hapo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Itabidi niondoke kwa heshima[emoji23] [emoji23]
 
Mh!
Hajakutana na waimba gospo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] utani tu braza
Najua ni utani mkuu. Ndo maana uzi huu tunauita stress free. Hata wageni wanaokuja itabidi tuwaambie kuwa wasichukulie mambo ya huku siriazi. Na kama mtu hapendi kutaniwa anasema asubuhi na mapema. Pamoja Baba Viv....
 
Back
Top Bottom