Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Akili za kuambiwa achanganye na zake. In short apambane na hali yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo andjul aende mtoni?
Akili za kuambiwa achanganye na zake. In short apambane na hali yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo andjul aende mtoni?
2 hrs back?Midwest!
Kwa hiyo ndo unataka Jakitoo wangu akakusaidie kumlea Viv? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Mama vivi alinikimbia siku nyingi sana[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Single father
HaahahhaahaBaba Viv ndo huyu Bob anayetaka kusambaratisha ndoa za watu huku? Ina maana ana mtoto tayari. Hii itakuwa skandali ya karne haki ya mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ehe, baba Viv sema..
This fight is a joke of a century. Boxing is a sham [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeNajua ni utani mkuu. Ndo maana uzi huu tunauita stress free. Hata wageni wanaokuja itabidi tuwaambie kuwa wasichukulie mambo ya huku siriazi. Na kama mtu hapendi kutaniwa anasema asubuhi na mapema. Pamoja Baba Viv....
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Akili za kuambiwa achanganye na zake. In short apambane na hali yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo ndo unataka Jakitoo wangu akakusaidie kumlea Viv? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Basi numbisa umefurahii mwenyeweHaahahhaaha
We we we weNimependa kumbe kuna baba vivi humu so haitaji mlonge huyu mtu
Huyo na 4 ni zombie?Ungekuwa ni wewe, nani ungemwachia kiti hapa?
![]()