Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Bora niende ZimbabweHhaaaaa
Bora niende ZimbabweHhaaaaa
Akili ni bora kuliko misambwanda
CantstopwontStop
Aisee kumekuchaa?Itakuwa ni madhara ya mlonge tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Gudi moningi dakitari...
Mh! Bora hilo zombie likaeYap. Ukizubaa anakumega ubongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa daktari. Lile somonla milonge mimi lilinipita. Unaweza kulirudia tena au unaweza kunionyesha liliko ili nikajisomee. Limeinukia kuwa somo mashuhuri sana hapa. Nimejaribu ku-search lakini sijafanikiwa. Msaada plizi...Sana tu
Unataka ugomvi na mtu hapaAkili ni bora kuliko misambwanda
CantstopwontStop
Hatari sana[emoji15] [emoji15] [emoji15] pole...i ddint know
Good morningGood morning wapenda likes
CantstopwontStop
Inabidi alirudie mana limekua na mvuto wa kipekeeMimi somo la mlonge lilinipita. Daktari sijui anaweza kulirudia tena? Ngoja nimtafute niulizie vizuri...
Kwaiyo unamlea mwenyew au yuko kwa bibi akeHatari sana
Ila nimemwambia aniachie mwanangu
Hahaaaaa!! Musanii!! Umencheghesha saana!! Rambiki angu! Uschaari utachuwa kama ukicha kweetu!! Musaani!!Muraaa kiswahili bana