Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
AiseeSouth Africa hii mkuu. Ni ground zero ya vyura tena wale orijino kabisa. Sema tu kidogo kale kamdudu nako kalijidamkia huko. Ukizubaa tu unaibuka nako...
![]()
Halafu somo la mlonge ndo limekufanya ukawa lecturer wa kuaminika humu ujue,sijui marudio lini tena[emoji111]
Mwacheni Mungu aitwe Mungu,lasivyo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]South Africa hii mkuu. Ni ground zero ya vyura tena wale orijino kabisa. Sema tu kidogo kale kamdudu nako kalijidamkia huko. Ukizubaa tu unaibuka nako...
![]()
HahaahYap. Ukizubaa anakumega ubongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni madhara ya mlonge tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Gudi moningi dakitari...
Mkuu ile picha ya kofia nimeimisiView attachment 573676
Huwa tunaufunika mwili na mavazi ya kistaarabu
Asilimia ndogo sanasijui kama atamaliza muhula wake salama