Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shida ya hili ukijisahau tu ukabeba katoto kuja kushtuka lipo sakafuni upara unang'ara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha weaving la wababa
Shida ya hili ukijisahau tu ukabeba katoto kuja kushtuka lipo sakafuni upara unang'ara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha weaving la wababa
DuhAJALI MOROGORO: Watoto kadhaa(Wanafunzi) wafariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kwenda shule kugonga Treni. Taarifa zinaripoti kuwa basi hilo aina ya Coaster lilikuwa likitokea Kihonda.View attachment 573733
Mkuu nikataka ku like hilo tangazo,wacha nitafute ki like-o[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kwenye app wameamua kuweka matangazo ya picha au ni simu yangu pekee? Naona kuna tangazo kubwa hapa chini kabisa....
Wabongo bwana yaani mpaka raha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkono wa Mungu ukaonekane...Marehemu wapumzike salama.AJALI MOROGORO: Watoto kadhaa(Wanafunzi) wafariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kwenda shule kugonga Treni. Taarifa zinaripoti kuwa basi hilo aina ya Coaster lilikuwa likitokea Kihonda.View attachment 573733
Kila la heri mkuu. Mungu na Akabariki kazi za mikono yako !!!Ndugu wapendwa baadae tena.
Muda wa kutafuta shekeli sasa.
2152-12
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbizaaa KimbizaaaNipoooo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] [emoji120] [emoji120] my friendKila la heri mkuu. Mungu na Akabariki kazi za mikono yako !!!