[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aje akumbane nayo hii
Kinadharia yes unatakiwa kutosheka na dada yetu uliyemtolea ng'ombe 30. Shida ya hii misambwanda haiishi na siku hizi ndo balaa. Juzi juzi posta mpya pale round about ya lipolisi lile wanapotaka kumuweka dayamondi pulatinamuz umepita msambwanda wa kufa mtu jamaa mmoja kageuza shingo mpaka akaiparamia nguzo ya umeme ngwee damu zikamtoka. Aliumia na damu kumtoka lakini jamaa wakamzomea tu.Samahani mkuu,hilo ni gumu.Mfano mimi nimeoa,natakiwa nitosheke na my wife wangu.Mara shaaa!!!! kitu inapita mbele yako kama huyu![]()
Nisiangalie japo...??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Weee!!! Saa hizi nipo zangu sokoni kwa lengo moja tu,nalo ni.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]