Ahsante shemeji,mara nyingi umekuwa ukinishika mkono pale ninapopoteza ustahimilivu.Nasema nitaendelea kuiokodolea MIMACHO hiyo midude hadi siku miwa ni yangu itakapo pasuka vioo.Muhimu Sivunji sheria zilizo wekwa na wife[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinadharia yes unatakiwa kutosheka na dada yetu uliyemtolea ng'ombe 30. Shida ya hii misambwanda haiishi na siku hizi ndo balaa. Juzi juzi posta mpya pale round about ya lipolisi lile wanapotaka kumuweka dayamondi pulatinamuz umepita msambwanda wa kufa mtu jamaa mmoja kageuza shingo mpaka akaiparamia nguzo ya umeme ngwee damu zikamtoka. Aliumia na damu kumtoka lakini jamaa wakamzomea tu.
Ukiwa na dada halafu unakata shingo kushangaa msambwanda ni kumkosea adabu. Anza kuwa unajikaza ikibidi fumba macho kabisa na usali kimoyo moyo. Ila ukiwa peke yako angalia hata macho yakudondoke ali mradi tu usianze kuulizia namba za simu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mimi hapo..., kwamba .. halafu eeeee yaani hata sijui umri wangu...loh!!! Eti nimezeka sana,sijui ni kweli??? Kwanini lakini?SYB nenda kalale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji113]Ngozi ya matunda kama zabibu zinasaidia kulinda afya ya ngozi ya binadamu na kupunguza hatari ya mtu kupata ugonjwa wa saratani.
Ngozi na nyama za ndani za matunda kama machungwa ni chanzo kizuri cha nyuzi lishe, ambazo hupotea wakati wa kuchuja juisi.