Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikuwa nimekaa kwenye ukumbi wa sinema
, mbele yangu kulikuwa na binti wa kike nà
kijana wa kiume wakiwa wamepakatana,
nilipigwa na butwaa yule binti alipoamua
kupandisha blauz yake juu na ghafla yule
kijana akaanza kunyonya taratiibu kana kwamba hamna watu wanaowaona , cha
kushangaza zaidi yule binti alikuwa wa miaka 25 na kijana ana miezi 3...!!!
 
Viswahili vyengine sio vya kutumia Jamaa yuko bar anakunywa zake Faru Joni, mara jirani yake akaja, jamaa kampokea vizuri tu na kumuuliza "Vipi nikutoe saba juu au nikutoe mirinda?" alichoambulia jamaa ni ngumi za shingo dabo na kelb za kufa mtu
Bora angesema nikuagizie 7up au mirinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…