Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Teh teh tehKichaa aliulizwa vp baridi huko barabarani mnapolala? akajibu "Baridi inapiga kiasi kwamba kama hauko serious na ukichaa wako basi unarudi nyumbani"
Duh! Huyu kweli Kichaa
HahahaahTeh teh teh nashukuru kwa kunikamata. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji23] [emoji23] [emoji23] baba viv....Mungu ni mwema sana atakujaalia cha muhimu ni kumuomba kwa Imani
Messeji 150 reply 1.Unamtongoza Demu kwa meseji150 na
humpati...
Halafu linatokea zee moja na meseji yake
moja tu ya tigo pesa linampata... Ndo utakapokumbuka kujaza *booklet*
kwenye mtihani sio kupata "A".
Safi tu mkuu.Za masiku
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Messeji 150 reply 1.
Sawa sawa kiongoziMwaga likes
Mkuu maana huwa noma tupu.[emoji2] [emoji2] [emoji2]