Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wataalam wa sayansi ya michezo wanashauri mazoezi mepesi yafanyike angalau mara tano kwa wiki, kwa siku iwe kwa dakika 30-40.

Muda huu ndiyo unakubalika na wanasayansi wa michezo kuwa unaufanya mwili kutumia mafuta yaliyorundikana.

Kama ni kutembea umbali unaopendekezwa kitaalam ni kilomita 2 kwa siku. Mazoezi mepesi yana ufanisi zaidi kama yakifanywa nyakati za jioni au asubuhi.
 
Pale unapofanya mazoezi kila mara na kwa muda mrefu ndivyo pia mwili unatumia zaidi mafuta yaliyorundikana hivyo kuwezesha kudhibiti unene/uzito mkubwa.

Hivyo kuanzishwa kwa utaratibu wa kufanya mazoezi kila Jumamosi ya pili ya mwezi na Serikali ichukuliwe kuwa ni kichochezi cha kutufanya kupenda kufanya mazoezi mepesi.
 
Isije ikatokea kuwa unafanya tu mazoezi hayo katika siku hiyo tu ilyoelekezwa, utakuwa unajidanganya kwani ili kuweza kupata afya njema inahitajika kujenga tabia ya kufanya mazoezi mepesi mara kwa mara kwa muda mrefu.
 
IMG_1652.jpg
 
Magonjwa huwakumba zaidi watu wenye kipato kizuri kutokana na tabia yao ya kutozingatia lishe bora. Wananchi wa mataifa yaliyoendelea wapo kwenye hatari zaidi ya kupata magonjwa haya. Licha ya ulaji holela, watu hawa hawafanyi mazoezi kama inavyoshauriwa. Wanakula zaidi vyakula vya wanga na mafuta, wanakunywa pombe na kuvuta sigara bila kujali athari zake.
Marekani, Wingereza, furens, Canada....
Magonjwa huwakumba zaidi watu wenye kipato kizuri kutokana na tabia yao ya kutozingatia lishe bora. Wananchi wa mataifa yaliyoendelea wapo kwenye hatari zaidi ya kupata magonjwa haya. Licha ya ulaji holela, watu hawa hawafanyi mazoezi kama inavyoshauriwa. Wanakula zaidi vyakula vya wanga na mafuta, wanakunywa pombe na kuvuta sigara bila kujali athari zake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom