Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

donge lako ligawe mara mbili sukuma duara la kwanza halafu sukuma duara la pili, chukua Sukari ya brown changanya na mdalasini ukipenda tia samli/ siagi iliyoyayushwa kwenye sukari na mdalasini uichanganye tu uipake juu ya donge moja au paka samli/ siagi juu ya duara moja halafu mwagia sukari na mdalasini na zabibu na nuts unazotaka juu yake zile zabibu kavu na nilitia walnuts, halafu paka samli/ siagi duara la pili funika juu yake halafu iroll pamoja halafu katakata size kama inchi moja na nusu hivi halafu panga kwenye tray ya kuchomea ukiwa hutaki.zigandane weka mbali kama unataka zigandane ziweke karibu karibu wacha ziumuke zichome kwenye oven. Wacha zipoe fanya glaze yako kikombe kimoja Sukari ya unga na maziwa vijiko 2 vya chai mwagia juu kama unavoona kwenye picha. Nimekupa vipimo tu vya glaze utatumia zaid ya hiyo mimi sikutia glaze zote wengine hawapendi. Mmmm yummy
 
HALF MOON...* *VIPIMO* Unga wa ngano kilo 1 siagi robo Mayai 2 bt sio lazima arki vanilla Maji kwaajili yakupondea hilik..kias lainii....ukipenda sukar laini...kias..upendacho bp kijiko kimoja cha chai Njia... weka unga tia mayai...na siagi...hilik ukipenda...arki...changanya ponda na maji.. fanya madonge...sukuma km chapat...usiwe mnene sana wala mwembamba sana... kata kwa cutter yke...yenye umbo la nusu mwezi...au kwa kikombe cha kahawa... bake..km vileja na oven..vtowe vikiwa vyeupe..visipge rangi.. tia sukar vikiwa vimotomoto km doughnuts.
 
Ingredients Blueband 1/4kg. Sukari 1cup. Unga 3cups. B.p 1tbsp Mayai 6 Vanilla Cocoa method Mix blueband na sukari iki mix vizuri add mayai piga hadi iwe well mixed ongezea unga na bp na vanilla mix well now divide into 2 one add cocoa n start baking it. My chocolate icing. I usually use margarine / butter half of 1/4 kg Melting it at a low heat then put the pot aside add cocoa 1pkt of 50 grm mix well n icing sugar almost 2 cup then add up like 2 or 3 tbl spoons of milk n mix then put it on low heat for like 15 seconds n its ready.U can make the thickness of the chocolate icing of ur choice which I prefer thicker
 
HALF MOON...* *VIPIMO* Unga wa ngano kilo 1 siagi robo Mayai 2 bt sio lazima arki vanilla Maji kwaajili yakupondea hilik..kias lainii....ukipenda sukar laini...kias..upendacho bp kijiko kimoja cha chai Njia... weka unga tia mayai...na siagi...hilik ukipenda...arki...changanya ponda na maji.. fanya madonge...sukuma km chapat...usiwe mnene sana wala mwembamba sana... kata kwa cutter yke...yenye umbo la nusu mwezi...au kwa kikombe cha kahawa... bake..km vileja na oven..vtowe vikiwa vyeupe..visipge rangi.. tia sukar vikiwa vimotomoto km doughnuts.
 
Mapishi – Fish Finger  Leo tunaangalia mapishi ya fish finger ( sijui kama unaweza kusema kidole cha samaki)!, Ni mlo mzuri hasa kuliwa kama kitafunio au mboga ya pembeni. Mahitaji 500g Fileti ya samaki 120g Chenga za mkate 100g Unga wa ngano Mayai 2 Ndimu 1 Kitunguu saumu 1 Kotmiri Mafuta ya kupikia Matayarisho Menya vitunguu saumu kisha visage Katakata fileti kwa muundo wa mraba (kama vidole) kisha paka mchanganyiko wa vitunguu saumu Kata ndimu na kamulia kwenye fillet yako Weka chenga za mkate kwenye bakuli kisha uchanganye chumvi kiasi na kata kata kotmiri majani 3 na uchanganye pamoja. Kwenye bakuli lingine weka mayai na uyapigepige yawe kama uji mzito Weka unga kwenye bakuli jingine. Chukua kipande cha fillet kiweke unga kidogo kisha kizamishe kwenye yai na baada ya hapo kizamishe kwenye mchanganyiko wa chenga za mkate. Fanya hivyo kwa vipande vyote. Weka mafuta kwenye kikaago na subiri yachemke kisha weka fillet zako vizuri na zikaange pande zote hadi zimekuwa rangi ya brown ( hakikisha moto sio mkali sana). Epua na weka pembeni mafuta yote yakauke Weka kwenye sahani tayari kwa kula. Enjoy!
 
Maini ya ng'ombe (fried) Unahitaji Maini kg 1 Kitunguu swaum kijiko 1 cha chakula Chumvi kiasi Apple cider au ndimu kijiko 1 cha chai Corriander powder nusu kijiko cha chai Pilipili manga ya unga kijiko kimoja cha chai Mint sauce nusu kijiko cha chai Kitunguu maji 2 ( katakata) Giligilani fresh kijiko 1 cha chai Tangawizi ya unga nusu kijiko cha chai Olive oil vijiko 3 vya chakula Njia Toa ngozi ya juu ya maini kama ipo. Katakata maini na uyaoshe mara 2 tu vzr. Kisha chukua maji yaliyochemka na umimine kwenye maini yako. Yaache kwa sekunde 5. Chuja maji vzr yabaki makavu. Tia viungo vyote na uweke kwenye friji kwa saa 1. Bandika chuma kisichoshika (non stick) na uyaweke maini kwa moto mdogo kwa dk 2 kisha ongeza moto na ukaange mpk yatakapokauka na kutoa mafuta.. nakula na chips na salad
 
Pishi: Vitumbua vya Nyama Mahitaji Nyama ya kusaga robo Kitunguu 1 Kitunguu thoum nusu kijiko Karoti 1 Pilipili hoho nusu Mayai 5-6 Baking powder nusu kijiko kidogo Pilipili manga kiasi Pilipili mbichi(ukipenda) Chumvi kiasi Namna ya kupika vitumbua vya nyama Hatua kwa hatua Safisha nyama, uitie thoum, chumvi, pilipili manga na tangawizi, ibandike jikoni ili iive na ikauke vizuri kata vitunguu, hoho, pilipili na uvichanganye na mayai, kisha vyote vitie kwenye nyama yetu Weka kwenye blender mchanyanyiko wetu uusage kidogo ila usiwe laini sana. Ikiwa tayari, mimina katika bakuli. Kisha tia baking powder, karoti na chumvi kidogo kisha changanya vizuri. andaa chuma cha kukaangia vitumbua, bandika jikoni, weka mafuta kidogo. Mafuta yakipata joto chota kwa upawa mchanganyiko wetu utie kwenye kikaango, vikiiva upande mmoja geuza na upande wa pili uive kisha uvitoe. Endelea kuchoma hadi viishe vyote, hapo tunakua tumemaliza upishi wetu wa vitumbua Natumai tumeenda sambamba hatua kwa hatua jinsi ya kupika vitumbua vya nyama.
 
MILK SHAKE Ingredientz Maziwa ya maji....i ltr Ndizi mbivu ....mbili Red rose.....just a little Sukari .......... Chemsha maziwa yagandishee yawe barafu......yakisha kuganda kata vipande vpnde vya barafu blend pamoja na ndizi mbivu na maziwa ya maji na sukar na red rose .-............
 
Kababu za yai Vinavyohitajika Nyama ya kusaga ½ kilo Mayai 5 Chenga za mikate(bread crumble) Vipande vya mikate ya French bread 3 vya kiasi Chumvi kiasi Pilipili manga ½ kijiko cha chai Pilipili nzima iliyosagwa ½ cha chai Ndimu kipande Mafuta ya kupikia Mayai 2 ya kuchomea kababu Bizari nzima iliyosagwa kijiko kimoja cha chai Kotmiri kiasi Thomu na tangawizi ya kusaga kijiko 1 cha kulia chakula Namna ya kutayarisha na kupika · Chemsha mayai mpaka yawive vizuri na uyamenye · Chemsha nyama kwa chumvi na ndimu · Ikikauka ichanganye na viungo vyote mpaka ichanganyike vizuri · Weka vipande vya mkate ambavyo unatakiwa uvivuruge kwa Kuvishikia kwa maji kidogo kidogo · Vunja yai moja na uchanganye
 
kwenye mchangangiko wa nyama · Fanya mviringo na uweke kishimo cha kuweka yai ulolichemsha · Lifunge ndani vizuri yai kwenye nyama lisionekane · Piga yai kwenye kibakuli na uchovye mviringo na ugaragize kwenye chenga za mkate na tayari kwa kuichoma kababu ndani ya mafuta yaliyokuwa tayari yamepata moto · Ikiwiva itoe na uiweke kwenye chujio kugida mafuta na tayari kwa kuliwa Kidokezo Unaweza kufanya kababu kwa kutumia kuku au tuna na pia unapochemsha nyama, igonge gonge kwa mwiko ili ivurugige vizuri isifanye madonge na ukiwa unayo food processor ni vizuri kuichanganya humo pamoja na mikate na viungo. -
 
MBATATA/VIAZI VYA NAZI KWA UTUMBO MAHITAJI Mbatata,utumbo,nazi,tungule,vitunguu maji,thomu,tangawizi mbichi,tomato paste,spice uipendayo,ppl,ndimu,chumvi,mafuta kdg,ppl boga,kotmiri. NAMNA YA KUPIKA Kosha utumbo wako vizuri kwa maji ya moto na ndimu ukimaliza uweke jikoni tia thomu tangawizi spices uwache mpaka uive ukaukie ubaki na supu kdg tu,menya mbatata zko ziache jikoni mpka ziwive,kuna nazi yako chujia tui la kwanza tu zito weka pembeni,bandika sfuria yko jikoni tia mafuta kdg kaanga vitunguu maji mpka vilainike weka thomu kaanga weka spices tia tomatoe paste changanya vizuri weka tomatoes ziponde ponde kwa mwiko mpka liwe rosti zito kama kwenye picha then mimina utumbo wako koroga changanya vizuri mimina viazi vyako ulivovichemsha kisha mimina tui changanya wacha kdg mda wa dakika tano mpka vichanganyike vizuri mwsho kabisa tia ndimu chumvi ppl kotmiri na ppl boga changanya wacha kdg kama dakk mbili tu hv then epua tayari kwa kuliwa..tamm zaidi ukila na chapati
 
Back
Top Bottom